Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Shemejiiiiii...!!!Unichukue na mimi nikaonje[emoji23][emoji23][emoji23]
Nafasi kama hizo siyo za kupoteza mkuu. Ungetest zali tu japo mara moja...[emoji23][emoji23][emoji23]Wakati furani nilishawishiwa na mpishi wetu kwenye eneo furani la mradi nile hiyo kitu ambayo jamaa aliandaa kwa watu wote waliokuwa na utayari. Tulikuwa na kampeni ya kula vyakula mbalimbali ambavyo jamii haivikubli. Hata hivyo hiyo kitu nilichemka.
Pepo limeyazidi mapepo ya mchungaji. Hapo si ajabu alikuwa keshalipwa tayari. Anyway, RIP mchungaji....Asee, hilo pepo si la kitoto