andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Bastola ya nini hapo? Yaani kitu shiba hadi...Hii inaitwa "utake usitake" [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 640708
Bastola ya nini hapo? Yaani kitu shiba hadi...Hii inaitwa "utake usitake" [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 640708
Nonesense topic
Sasa kama unaka"pindua pindua" kabinti ka watu for 6 years halafu wasema huoi "used" kafanyeje??acha tu kashike hata kisu na mabomu tu....Bastola ya nini hapo? Yaani kitu shiba hadi...
Labda nilikuwa najifunza "kurenga"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa kama unaka"pindua pindua" kabinti ka watu for 6 years halafu wasema huoi "used" kafanyeje??acha tu kashike hata kisu na mabomu tu....