carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Huyo dada naye ovyo tu,hizo 20yrs zote alikuwa wapi kumuanika jamaaNi hivi, kwa mfano andjul ni kibosile sehemu, sasa kwenye hiyo ofisi kuna mrembo wa haja; mwenye msambwada wa nguvu. Sasa huyu andjul akawa anamlia migo huyo bidada, kuna siku uzalendo ukamshinda ikabidi auguse msambwanda wa huyo dada, hili alilifanya Kama miaka 20 iliyopita; leo huyo bidada ameamua kufukua makaburi na kuliweka wazi mbele ya kadamnasi! Hapo andjul lazima kimuwakie tu! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550]
Mambo mengine kuharibiana tu na usikute kuna watu wako nyuma ya bidada wanamtumia kumuharibia jamaa na kumpiga hela na usikute ni ishu za siasa ama mambo ya uongozi tu....