carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Huyo dada naye ovyo tu,hizo 20yrs zote alikuwa wapi kumuanika jamaaNi hivi, kwa mfano andjul ni kibosile sehemu, sasa kwenye hiyo ofisi kuna mrembo wa haja; mwenye msambwada wa nguvu. Sasa huyu andjul akawa anamlia migo huyo bidada, kuna siku uzalendo ukamshinda ikabidi auguse msambwanda wa huyo dada, hili alilifanya Kama miaka 20 iliyopita; leo huyo bidada ameamua kufukua makaburi na kuliweka wazi mbele ya kadamnasi! Hapo andjul lazima kimuwakie tu! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550]
Huyo dada naye ovyo tu,hizo 20yrs zote alikuwa wapi kumuanika jamaa
Mambo mengine kuharibiana tu na usikute kuna watu wako nyuma ya bidada wanamtumia kumuharibia jamaa na kumpiga hela na usikute ni ishu za siasa ama mambo ya uongozi tu....
Amen[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Ai emu totale faini. Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
"Bed Of Roses"
You're that one special woman
I thought I'd never find
With the stream to be gentle
And the courage to be kind.
Though it hasn't all been roses
Still I know you understand
One of these nights
I'm gonna take you by the hand.
And lay you down on a bed of roses
In tha peaceful shelter only love can provide
I'll lay you down on a bed of roses
And then I'll lay me down right by your side.
There's no diamond on your finger
Just a simple wedding bend
Since your knight in shining armor
Is just an ordinary man.
Though I promised you a kingdom
And we don't have all we planned
One of these nights when we're making believe
I'm gonna take you by the hand.
And lay you down on a bed of roses
In tha peaceful shelter only love can provide
I'll lay you down on a bed of roses
And then I'll lay me down right by your side...[emoji443][emoji443][emoji443][emoji42][emoji42]
Kenny rogers huyoHuyu ni Nani? Ni Henry Olusegun Adeola Samuel, known professionally as Seal?
Siku zote hizo walikuwa wapi wasiseme?walikuwa wanatishwa ama?Halafu wako wengi kweli sasa hivi, wengine walifanyiwa hayo miaka kama 40 iliyopita. Sasa hivi ni wazee ndio wanaibuka sasa hivi!
Kenny rogers huyo