Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyo dada naye ovyo tu,hizo 20yrs zote alikuwa wapi kumuanika jamaa
Mambo mengine kuharibiana tu na usikute kuna watu wako nyuma ya bidada wanamtumia kumuharibia jamaa na kumpiga hela na usikute ni ishu za siasa ama mambo ya uongozi tu....
Kibaya zaidi jamaa hawasubiri hata ushahidi. Yaani ukishatajwa tu kuwa ulikosea ukagusa chuchu msumari hapo kifuani au hata vimaneno tu "You are beautifuf, you have a nice ass..." miaka hata 40 iliyopita basi unalo. Yaani jamaa wanafukuzwa kazi left and right na maisha yao na reputation kuharibiwa kabisa. Who knows, miaka 30 from now Carba ataweza kuibuka na kunishtaki kuwa nilikuwa namharasi sekishwale kwa kumuita shemeji kipenzi kwenye forum mfu iliyokuwa ikiitwa JF. Tena akiwa na screenshots basi atanimaliza kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duh !!!

Wanamuziki bwana !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…