Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baba yetu alikuwa anasumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu lakini hali yake ilibadilika ghafla Jumatatu; tulimpeleka hospitali kwa matibabu lakini akafariki dunia. Msiba upo nyumbani kwa marehemu Mabibo na mipango ya mazishi inaendelea,” amesema.
 
Video hiyo ilitumika kushawishi vuguvugu lililoitwa BenderaHii na kusababisha migomo nchi nzima. Serikali ilijibu kwa kupiga marufuku maandamano ya mitaani jijini Harare katika kile ilichoita ni “matumizi mabaya” ya bdenera.
 
Taarifa ya Tanesco imesema baadhi ya maeneo ya mikoa hiyo hayana umeme kuanzia saa 3:20 asubuhi ya leo Jumatano Novemba 29,2017 kutokana na mashine namba tatu ya kuzalisha umeme kwa njia ya gesi asilia kituo cha Ubungo II kupata hitilafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…