Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemtaka Inspekta Jenerali wa Polisi(IGP), Simon Sirro kuwakamata Bahman wa kampuni ya NAS na Wakala wa Kampuni ya Wallmark, Samwel kwa kutaka kutoa bandarini matrela makubwa 44 bila ya kulipa kodi kwa kutumia jina la waziri mkuu.