Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-11-28-23-09-43.png
 
Tena mimi nitakuwa shahidi wake, kila siku eti “shemeji kipenzi”. Halafu umemsikia Matt Lauer wa NBC kimemuwakia leo? [emoji23][emoji23]
Matt Lauer ni latest "victim". Big names waliotangulia wamo akina Bill O'Reilly, Charlie Rose na wengineo. Mi nasubiri kuona mwanaume naye akijitokeza na kusema kuwa naye alinyanyaswa na bosi wa kike kwa kushikwa kidevu au mbupu zake nione reaction itakuwaje.

Hata uwe shahidi kesi hiyo hamtashinda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Magari haya aliyalipia asilimia 30 tu kwa makubaliano ya kumaliza asilimia 70 iliyobaki baada ya kufika Tanzania na atakapokamilisha ndipo angepewa nyaraka ambayo inaonyesha jina la mwenye mzigo, aina ya mzigo na thamani (bill of lading) inasaidia mteja kufanyiwa tathmini ya gharama za kulipia ushuru, lakini huyu bwana hajafanya hivyo.”
 
Waziri Mkuu amesema kitendo cha kuyasajili matrela hayo bila ya kuwa na nyaraka hizo ni kinyume cha sheria na pia kinaweza kusababisha kampuni iliyouza magari hayo ya Serin kutolipwa malipo yaliyobaki.
 
Amesema jambo hilo halikubaliki kwa sababu linaweza kudhohofisha mahusiano mazuri iliyopo kati ya Tanzania na Uturuki kwani tayari kampuni hiyo imeshawasilisha malalamiko hayo katika ofisi za ubalozi wa Uturuki nchini Tanzania.
 
Amesema jambo hilo halikubaliki kwa sababu linaweza kudhohofisha mahusiano mazuri iliyopo kati ya Tanzania na Uturuki kwani tayari kampuni hiyo imeshawasilisha malalamiko hayo katika ofisi za ubalozi wa Uturuki nchini Tanzania.
 
Pia waziri mkuu ametoa wito kwa mawakala wa forodha kuhakikisha wanakuwa makini katika kazi zao na Serikali haitawavumilia wababaishaji kwani inasisitiza wafanyabiashara kulipa kodi kwa mujibu wa sheria na si vinginevyo.
 
Awali, Mkurugenzi wa Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko alimueleza waziri mkuu kuwa pamoja na vitisho vya mfanyabiashara huyo kuwa wasipotekeleza matakwa yake watapata matatizo, lakini waliendelea kusimamia sheria na taratibu.
 
Utafanya kitu gani ukitimiza miaka 20 ya ndoa? Au ulifanya nini ulipotimiza miaka hiyo ya ndoa?

Kuna ambao hutumia siku ya kumbukumbu ya ndoa zao kwenda kwenye nyumba za ibada kumshukuru Mungu na wengine hufanya sherehe kwa kualika ndugu, marafiki na majirani.
 
Kila mmoja huwa na utaratibu wake ambao huambatana na uwezo wa kiuchumi ili kuiweka kumbukumbu hiyo ya ndoa vizuri na ndio maana kuna ambao hufanya sherehe kubwa na wengine hukumbuka kwa ‘maneno tu’.

Iwe ni kumbukumbu ya miaka mitano, 10 au 15, huwa ni muhimu kutafakari muunganiko wa watu wawili ambao wameishi pamoja wakipita milima, mabonde na kuvuka vihunzi vingi.
 
Iwe ni kwa sherehe au ‘maneno makavu’ tu, siku hiyo huwa ni muhimu kuitafakari na ikiwezekana wawili hao, huwa wanatathmini walikotoka na wanakokwenda.
 
Lakini, mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu na mkewe Alicia, wana stori tofauti kuhusu kumbukumbu ya ndoa yao.

Leo Jumatano, Novemba 29, Lissu na Alicia wanatimiza miaka 20 ya ndoa yao, lakini wanatafakari safari hiyo ndefu ya muunganiko wao wakiwa mazingira tofauti;Hospitali ya Nairobi.
 
Wanaweza kuitumia siku ya leo kulishana keki, lakini Lissu anatimiza siku 84 akiwa Hospitali ya Nairobi huku mkewe, Alicia akiwa kando ya kitanda kumhudumia kwa siku zote hizo.

Lissu aliyepigwa risasi zaidi ya 30 akiwa ndani ya gari lake nje ya makazi yake Area D mjini Dodoma Septemba 7, mwaka huu anazungumzia kumbukumbu ya miaka 20 akiwa amejilaza kitandani hospitalini hapo katika mahojiano na Mwananchi.
 
Back
Top Bottom