Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mke wangu nikuzungumziaje? Lissu anamuuliza Alicia ambaye anamjibu, “kazi kwako.”
“Mke wangu mpenzi anaishi kiapo chake tulipooana Novemba 29, 1997, tunatimiza miaka 20 …tulipooana nilimsikia anasema ‘kwa shida na raha, nitampenda, nitafanya nini na nini’, kwa hiyo mke wangu mpenzi anaishi katika kiapo chake,” anasema Lissu akiwa mwenye tabasamu.