Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ka - kiambishi awali kidogoshi pendezeshi japo hakipo katika Kiswahili Sanifu.

Mf. Kashemeji kangu karembo kana roho njema.....[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
Unamaanisha kacarba? Ni katata halafu kakorofi hakooo!
 
Screenshot_2017-11-29-00-52-49.png
 
Wale wazee wa kupenda "magoma" [emoji23][emoji23][emoji23]
We Numbisa wewe,starehe ya wenzio hiyo
Eti wapenda magoma. Likikosea likakuwekea msambwanda usoni kwa bahati mbaya unaRIP...[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Back
Top Bottom