Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-11-29-00-54-35.png
 
Marahaba mama,habari ya majukumu...
Hii "ka" iliileta Shimba kwa kaandaetini Yego... Kayego[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ka - kiambishi awali kidogoshi pendezeshi japo hakipo katika Kiswahili Sanifu.

Mf. Kashemeji kangu karembo kana roho njema.....[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Back
Top Bottom