Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hafla hiyo itafanyika tarehe 9 Disemba mwaka huu katika ukumbi Ukumbi wa Dar live huku akisindikizwa na burudani mbalimbali kutoka kwenye bendi ya Twanga Pepeta, Jahazi Modern Taarabu na mchekeshaji maarufu Emmanuel Mathias (Mc Pilipili)atahudhuria usiku huo.
 
Katika mchezo huo uliyomalizika kwa Chelsea kuibuka na ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na difenda wake, Rudiger katika dimba la Stamford Bridge umemalizika huku mchezaji huyo akionyesha kuvuja damu baada ya kuvua kiatu chake.
 
Klabu Yanga imepanga kumuwajibisha mshambuliaji wake raia wa Zambabwe Donald Ngoma, kwa kosa la kwenda kwao bila ruhusu ya klabu hiyo ambayo anaitumikia kwa msimu wa tatu sasa.
 
Chanzo cha bari kutoka ndani ya klabu hiyo kimeiambia Goal , kuwa uongozi wa juu upo katika mjadala wakijadili namna ya kumwadhibu mchezaji huyo ambaye hajaichezea timu yao kwa miezi miwili baada ya kutimkia kwao Zimbabwe bila ruhusa ya klabu.
 
Tupo kwenye kikao cha kumjadili Ngoma, amekuja jana kutoka kwao Zimbabwe tunachotaka ni kutuambia nani alimpa ruhusa ya kwenda kwao na kingine tunataka kujua kama anataka kucheza Yanga au kuondoka maana tunashindwa kumuelewa kwa yale anayotufanyia," imesema taarifa hiyo.
 
Chanzo hicho kimedai pamoja na majeruhi aliyokuwa nayo mchezaji huyo lakini alipaswa kubaki nchini kwa ajili ya kufanyiwa matibabu kama ilivyo kwa wenzake wawili Amissi Tambwe na Thabani Kamusoko, lakini yeye aliamua kuondoka kwa maamuzi yake kana kwamba siyo mwajiriwa wa Yanga.
 
Screenshot_2017-11-30-20-14-15.png
 
Back
Top Bottom