Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Lilikuwa ni swali dodosi tu. Kuna wakati huwa nakaa na kujiuliza maswali ya aina hii na kutafakari. Kwa nini ni lazima kufa? Na tukifa ni kweli tunakufa? Ni lazima kupenda/kupendwa? .....Maswali haya mara nyingi huwa hayahitaji majibu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siyo lazima babe [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hata hivyo asante kwa jibu lako. Limenipa mwanga [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️