Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Juma Njwayo mbunge wa zamani wa Tandahimba
Usiku wa saa 2jioni imekaribia
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125]Dah!hawa viongoz wa awamu hii ni vichomi
Geita. Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linamshikilia mtumishi wa mgodi wa GGM, Milembe Suleiman anayetuhumiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja.
Mfanyakazi huyo ambaye ni ofisa ugavi kitengo cha manunuzi anashikiliwa baada ya ‘video’ inayomwonyesha akimvisha pete ya uchumba mwanamke mwenzake kusambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Uko vizuriView attachment 641763
Ktk ubora wangu