ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Upo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23]Hahahaha
Hapo watu wata pambana haswaNajua unono utakuja kwenye 100,000
Mungu atupe uzima
Kwenye Nchi ya Makinikia [emoji125][emoji125]wanyama street yazua balaa
Mimi mwenyewe nilikuwa nimezunguukwa na watu wana nishangaa tuuYaani kabisaaaaaaaaa
Eeeeeeeh
Kama nikikuwa nawaona wanangu wakipiga keleleeeee, leo nikazipiga mimi kimya kimya maana wangenisumbua kutaka kujua linalojiri eeeeeeh
Wewe amua kukaa humu ndani nina kuhakikishia. Utapata marafiki wenye upendo wakweli. Hakuna umbea humu wala majungu.Nami hamjanihacha salama. Mmenisogeza angalau. Toka 150 mpaka 700 si haba.
Nilikuwa sio mpenzi sana wa kupost au kuanzisha thread.
Nilikuwa napita nasoma basi.
Sasa mmenipa nguvu.