cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Mfano wa video games
Yaani kabisaaaaaaaaa
Eeeeeeeh
Kama nikikuwa nawaona wanangu wakipiga keleleeeee, leo nikazipiga mimi kimya kimya maana wangenisumbua kutaka kujua linalojiri eeeeeeh
Mfano wa video games
Wenye pair zenu mkuu.Muda wa papuch huu
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji123] [emoji123]PONGEZI KWA WOTE NA KWA cocochanel a. K. a Mrs 50K
kwa kukamilisha lengo la leo 50,000
MISSION COMPLETED at 23:09
Much congratulations to all.
HahahahaYaani kabisaaaaaaaaa
Eeeeeeeh
Kama nikikuwa nawaona wanangu wakipiga keleleeeee, leo nikazipiga mimi kimya kimya maana wangenisumbua kutaka kujua linalojiri eeeeeeh
Ubarikiwe pia mkuuIlikua siku nzuri sana leo kujumuika nanyi...mbarikiwe wote
Hhaahahaha upo vizuri maana nilikuwa na uhakika 50k kabisa nakupokonya duuuh hongera sana
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Asante kwa data[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji123] [emoji123]
Hapo utaona moto kichwaniKuchanganyikiwa ni pale unapompa Mimba Mtoto wa Mwanajeshi anaesoma form Two
.
Usiku mwemaUsiku mwema
Karibu tena mkuuIt is interesting thread
Aisee hongera sana cocochanel, nilipata udhuru kidogo nikaondoka lakin nisingeikosa hiyo 50k
Jamani kesho kumekuwa kutamu huku hatari, COCOCHANEL HONGERA SANA, utalala unasmile leo, tukutaneni tena
Sawa sawa ngoja nikimbilie ofisi saivi nikuangalie hilo jinaHahahaaa Abdala mwita
KweliNajua unono utakuja kwenye 100,000
Mungu atupe uzima
Aisee hongera sana cocochanel, nilipata udhuru kidogo nikaondoka lakin nisingeikosa hiyo 50k
Uwe na usiku mwananaGd9t ndugu zangu! Hapo baadae!
5second kila day inanisumbua sanaMode naomba muweke Batani ya Auto Like.
Endelea kutafuta ukiiona nishtueNatafuta Button ya Like niibonyeze.