ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
HahahahaLaleni sasa
HahahahaLaleni sasa
Hhahahhaa utaua watu mkuu kwa hayo malengoHongera sana dadaangu. Kesho ni 60k kwa malengo
Mungu akipenda mkuuAsante Andjul. Nitakutafuta kesho
Kula Like
Hongera sana usiku mwemaAsante kwa likes now 60140 likeS
Wewe tukutane kwenye 100K
Hahahaha everyone hapa ni dear kwa maupendo na malikes haya....hamna namnaNani tena unamuita dear khaa!
Tumekukumbuka Baba.
Nimekuongezea mkuuAsante kwa likes now 60140 likeS
Ukitaka uzi uchafuke endelea kugusa mali zangu. Babe S ni wangu usisumbukeNani tena unamuita dear khaa!
Beside MeSounds of music
Hahahaha nami pia saa zingine...NINA WASI WASI NA KICHWA KICHAFU NDIE JEMBEKILLO
Nipo na mimi nakupenda pia!Yeyote atakae ona bandiko kwamba ISIS anaaga nisaidieni kamwambia NAMPENDA
Umecheza kweli!Timu supa ya leo ni hakunaga
Hongera kwenu wote.
Yani acha tu hii kitu imekuwa so fun. Na kila wakati inafikiaga usiku ile ya 40K ilikuwa balaaPoa poa itakuwa hakunaga
It was fun kwa kweli
Utafikiri mtu unaenda kupata medali, si kwa spidi iliyokuwemo eeeeeeeh