cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Hongera
Hongera
Hongera kwako pia jamani
Kwa 49,999
Hongera
Hongera
Yani acha tu hii kitu imekuwa so fun. Na kila wakati inafikiaga usiku ile ya 40K ilikuwa balaa
Kamata hiyoHahhaha huchelewi, karibu
Mfano wa video gamesYaani kabisaaaaaaa
Ni kujaribu tu mkuu.Hhahahhaa utaua watu mkuu kwa hayo malengo
Weka malengo kwa afya aisee
Vumilia mpaka saa 6 wewe. Utakosa like.Guys muweni na usiku mwema see you tomorrow...
AminIlikua siku nzuri sana leo kujumuika nanyi...mbarikiwe wote
Hhaahahaha upo vizuri maana nilikuwa na uhakika 50k kabisa nakupokonya duuuh hongera sanaHongera kwako pia for 50,001
Nilifikiri tutahit 50k by 11pm, ila kuwa out by 9 minutes ni supaaaaaaaaaaaaaaa
Naona we are a good team kwa kweli.
Congrats to you all
Aha!!!!!!!Kata.... katatika
Kiuno chako mwenyewe.... kata...kata
Uwiii najitayarisha mauno mie
Halooooooo
Sawa mkuu kula hiyoHabari ya humu ni njema kabisa
Video gamesYani acha tu hii kitu imekuwa so fun. Na kila wakati inafikiaga usiku ile ya 40K ilikuwa balaa
Kitu kingine huu uzi imeanza kufanya watu wameanza kuzoeana na kuwa marafiki.Yaani kabisaaaaaaa
I wish walahiinabid tufanye tafit nibonyeze button moja tuu nilike comment zote
Lione kwanza ilivyo na sura nzuri
Kuliko mabishanoKitu kingine huu uzi imeanza kufanya watu wameanza kuzoeana na kuwa marafiki.