Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Kesho ni 55k tu mkuuNi kujaribu tu mkuu.
Kesho ni 55k tu mkuuNi kujaribu tu mkuu.
Hizo 5 second zinanitesa kila day maana nashindwa kwenda kwa kasi moja ya kupost na kulikeHa ha ha haaaaaaaaaaaa
Leo nimejua kuwa hiyo kusubiri 5 seconds ilikuwa kama unasubiri miaka 100 eeeeeh
AminMungu akawe mlinzi wetu usiku huu, tuamke na afya njema. Mapenzi yakatimie. Usiku mwema familia ya upendo.
Haujari dini/kabila/msimamo/itikadi/ukongwe/ugeniNi kweli kabisa. Huu uzi haubagui. Ili mradi unajua sehemu ya kuponyeza Like tu ushakuwa mwanafamilia.
Kula zako hizo
Hahah hapo hata kwa goli la mkonoNajua unono utakuja kwenye 100,000
Mungu atupe uzima
Lala mnono kama usingizi wa kichangaGd9t ndugu zangu! Hapo baadae!
Usiku mwema.
HhaahhhahaKaribu, nimeona eeeeeeh was fun fun fun hakunaga
Kwa version ingine mtu unaweza kuona utofauti wa seconds zilivyopiga mida ile... ha ha haaaaa
Karibu mkuuKaribu tena na tena.
Sawa sawa mkuu pokea hizolikes za kulalia tafadhali
HahhahaUlikosa spidi ya mwishoni, ilipamba moto haswaaaaaaa yaani dk unaona post kama 40 new eeeeeeh
Ikabidi ubongo ubadili gia, kulenga.
shukranSawa sawa mkuu pokea hizo
Haya nawe pokea zakoNimeiona.
Kula zako sasa
Hongera mkuu maana toka 2012 kweli ulikuwa msomaji.Nami hamjanihacha salama. Mmenisogeza angalau. Toka 150 mpaka 700 si haba.
Nilikuwa sio mpenzi sana wa kupost au kuanzisha thread.
Nilikuwa napita nasoma basi.
Sasa mmenipa nguvu.