Naona kwa Dar ndo tunateseka sana. Ipielo nitaangalia kwenye simuNadhani tunapata mgao wa kimyakimya,
Leo huku tunao.
Ahsante ndugu yanguNiko bize bize kidogo na visafari safari vya hapa na pale. Nirushie email yako chemba nianze kukurushia vya general knowledge na Accounting.....
Pamoja sana....Ahsante ndugu yangu
Tayari kule[emoji120] [emoji120]Pamoja sana....