ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Kwema mkuu,Mzee mwenzangu kwema?
Kijiwingu kimetawala,kubwa zaidi ni yale malalamiko ya carba...hata huku wamekataKwema mkuu,
Vipi hali ya hewa ya huko?
Nadhani tunapata mgao wa kimyakimya,Kijiwingu kimetawala,kubwa zaidi ni yale malalamiko ya carba...hata huku wamekata
Niko bize bize kidogo na visafari safari vya hapa na pale. Nirushie email yako chemba nianze kukurushia vya general knowledge na Accounting.....Naamini hauja sahau,isipo kuwa majukumu bado yamekutinga