Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

95adc7d84144aed8852911394b5f7a48.jpg
 
Yaani hawa watu ovyo kabisa na joto hili sijui wanategemea tuwe nyama choma watule na ugali,mfyuuuu zao[emoji57][emoji57]
Walivyo kata tu,nami nimewakomesha.Nilivyogundua leo ni jumamosi,nikatabiri kesho ni jumapili,basi,kazi zote za usafi na wa kesho nimefanya leo. Hata sijayakumbuka matanesiko kama hayapo ndani mwangu
 
[emoji445][emoji344][emoji450][emoji443]Watanzania jambooooooo...!!![emoji443][emoji344][emoji445][emoji450]
Tulisha zoea "aaa wamekata!!" mara "huuuoooo" haupiti muda "tenaaaa!!"
Mara "huuooo...aaaaaaah!!" zima taa isije ungua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom