ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Hapana,hii kesi inabidi tukae kamati.Hii kesi apelekewe Andjul hii...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuona mzee wa Bomoa tutajenga keshoHapana,hii kesi inabidi tukae kamati.
Urahisi wa upatikanaji wake upoje!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hilo jumba ukihangaika nalo,kila mtu anakurespektiNakuona mzee wa Bomoa tutajenga kesho
Nzuri mkuu. Yote kwa yote Tumshukuru Mungu..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] habari za masiku bro
Ndiyo hii mechi Numbisa alikuwa ananitega eti tubet likes? Kumbe inachezwa leo! Sijui nijitose nibet likes 200?
Sana mkuu ingawa linatakiwa nalo lijitambue![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hilo jumba ukihangaika nalo,kila mtu anakurespekti