Alisema muda uliopo ni mdogo kwa wao kupata vyumba hata hivyo aliongeza kuwa hali ni ngumu kifedha na mwenye nyumba hakuwaeleza chochote juu ya malipo yao.
Hii ni kama taarifa ya kushtukiza kwetu, ukizingatia hatujamaliza hata miezi mitatu tangu tumekuja kupanga hapa, lakini hatuna jinsi tutaenda kujisitiri kwa ndugu hadi hapo tutakapo pata pesa kwa ajili ya kupanga sehemu nyingine,” aliongeza.
Hata mimi roho inaniuma sana, sipendezwi na tuhuma hizi, lakini sina jinsi kwani hapa nilipo ninakosa raha maana nilikuwa nategemea wapangaji kuendesha maisha yangu,” alisema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.