Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuanzia juzi sijatoka nyumbani kwa sababu jirani yangu kagombana na mke wake kisa alifumaniwa na mchepuko. Nikasikia mke akimwambia mumewe ili kukukomesha na mimi natembea na jirani zangu wooote.
Nahisi zamu yangu imekaribia bado nasubiria..!
 
*Wanawake bhana*
_Anagombana na Mmewe anamnunia. Mwezi mzima......siku akimmisi anachukua cm anamwandikia SMS...."qjtidmgkwgjgjjatrrd*...halaf anamtumia mumewe ..halaf anamtumia tena sms nyingine ,"sorry mtoto alikuwa anachezea cm"..
 
Pilli alikuwa anamnyonyesha mwanaye. Rafiki ake Kipenzi (Halima) alikuwa amekaa pembeni anaangalia mtoto anavyonyonya.....
Halima akasema,
"kananyonya kama babake"
...Sasa hivi tunajaza PF3 hapa kituo cha Polisi, Kuelekea Hospitali..
 
Dogo wa miaka 8 alishtakiwa kwa kubaka.Mahakamani,wakili wake ambaye alikuwa ni wa kike,alikatoa kauume ka dogo nje kama ushahidi na kukashikilia,akasema"ndugu hakimu angalia,anaweza kubaka kweli?yaani haka tuu?"...dogo akamnong'oneza wakili wake,"usikatingishe,tutashindwa kesi!!
 
POWERFULL QUOTE OF THE DAY
"Wakati mwingine hautapewa nafasi lazima uitafute mwenyewe"
- Ziane Ndolla -
Ziane Ndolla ni nani? Huyu ni kondakta wa mabasi ya UDA. Sasa rudia na uisome upya......
 
Mrembo yuko nje kwao anafua vifuniko vyake vya asali, mara paap katokea jamaa akamuomba yule mrembo ampatie maji ya kunywa Cha kushangaza sasa yule mrembo kuingia ndani kwenda kumchukulia nikamuona yule jamaa kanyanyua beseni la maji lenye vifuniko vya asali na kuyanywa huku akisema "Leo SUPU, nyama siku nyingine"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…