Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20171203-WA0008.jpg
 
Mrembo yuko nje kwao anafua vifuniko vyake vya asali, mara paap katokea jamaa akamuomba yule mrembo ampatie maji ya kunywa Cha kushangaza sasa yule mrembo kuingia ndani kwenda kumchukulia nikamuona yule jamaa kanyanyua beseni la maji lenye vifuniko vya asali na kuyanywa huku akisema "Leo SUPU, nyama siku nyingine"
 
Nimelala zangu ghetto naskia jamaa nje ananadi kwa kipaza sauti "Nauza vifuniko vya asali" Nikatoka kwenda kuon ili nivijue hivyo vifuniko vya asali Kumbe amauza pi.chu za kike
 
majamaa wawili walikua wakiangalia taarifa habari,ikaonyeshwa habari ya mtu aliyejirusha kutoka ghorofa ya 10 mpaka chini na kufariki wakati hilo tukio likioneshwa lilivyotokea,ubishi ukaanza.
Don:huyu mtu hawezi kujirusha.
Jon:lazma ajirushe naafariki kama habari inavyosema.
Don:tatizo lako wewe ni mbishi..hivi unafkiri ghorofa 10 ni mchezo ee.
Jon:basi mimi nafunga pesa..asipojirusha nakupa 50000tsh.
Don:haina haja.. wewe funga jiwe..mimi ntakupa 100000tsh kama akijirusha.
jon:sawa.
wote wakatazama kwa makini nini kitakachoendelea na mwisho yule mtu alijirusha na kufariki kama habari ilivyosema.
jon:sasa je..sinilikuambia
don:sawa leo umeniotea(huku akimpa pesa Jon alizo muhaidi).
Jon alimuonea huruma Don nakuamua kufunguka.
Jon:nlikua najua kitakachoendelea,kwasababu hii habari tayari ilishaoneshwa asubuhi kwaio chukua pesa zako.
Don:hapana hata mimi niliiiangalia asubuhi ila sikutarajia kama yule jamaa(marehemu) kama angerudia kuruka tena usiku huu.
 
Mwalim aliingia darasan akawataka kila mwanafunz ataje kaz ya baba zao na mama zao.....

*JUMA* baba yang dereva mama mwalimu...…..

*VICTOR* baba yang mfanyabiashara mama mkulima......

*KISHOKA* mama yang *MALAYA* baba simjui.......

*Mwalimu* "pumbavu" nikukute ofcn umwambie mkuu ulichokisema apa..

Kishoka akaondoka kuelekea kwa mwl mkuu....baada ya dakika chache kishoka anakuja anatabasamu huku anakula biskut...

*Mwalimu:* mwl mkuu kakupa adhabu Gan..!!
*Kishoka:* kaniambia nimpe namba ya MAMA.........
 
Ndoa ilio acha watu mido mo wazii !!!!/
Bwana harus
Alipo ulizwa unakitu gani kama ishara yaupendo wenu.?
Akafungua zipu akaitoa nakuanza kuingiza kwa mkewe polepole.
Biarus nae akaing'ang'aniza.hadi ikaingia yote bac watu wote pale wakashangilia kwanguvu nakupiga makofi. Kwani wao hawakuamini kwajinsi ambavyo ilikua inaingia ile
PETE YA NDOA .
Sija penda ulicho fikiria.
 
*Mwezi wa 11 mwaka uliopita, kuna mtu alinitumia Tshs 50,000/= akapandishwa cheo kazini ,Rafiki yangu wa zamani akanitumia Tshs 75,000/= akashinda bahati nasibu,Mwingine akanitumia Tshs 100,000/= muda si mrefu akaolewa. Sikwambii unitumie hela ila fikiria baraka walizopata walionitumia hela baada ya hapo fanya maamuzi SAHIHI
 
Hakuna kitu kinauma kama upo ugenini kitu kinapotea, afu unawasikia wenye nyumba wakisema, "hatujawai kupotelewa kitu humu ndani"
 
Hivi ushawahi fall in love haswaaa!!?
Yani unampenda mtoto hadi akikupigia ile sauti unatamani uitafune na kuimeza
Akikuita tu "my love"unajisikia tu kuvua nguo mwenyewe
Ukiwanae unahisi unaweza piga 8 men per once
Yani afternoon mtashinda p1 ila night unakopa Salio ili tu uongee nae.Yaani unaona mapenzi yenu hayajafikiwa na couple yoyote ile duniani
Akikushika mashavu akakwambia "I love u" unashika ukuta ili usizimie .Yani ukimfikiria unalala kitandani ku dilute hiyo feeling coz ni too much
Umewahi feel hivyo?
Kama ushawahi experience hivyo bac HIYO SIYO "LOVE" NI "BANGI"
PLZ ACHA KUTUMIA
 
Ushawahi saidiwa homework na mzazi wako halafu unapata zero?!!!
Hapo ndo utajua shida sio wewe??!!
 
Jamaa mmoja alinyimwa msosi msibani akaanza kulia
Hii hhii mnaninyima msosi na Mimi NTAFILIWA tu
 
Back
Top Bottom