Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

e2cf802301ee6cc9b3f8754c2db4079a.jpg
 
Hapana Mchungaji. Hela zote lazima zipite kwa mhazini. Nitakuwa nakugawia fungu lako (60%) bila kukupunja. Na ili kupunguza gharama napendekeza tusiwe na majengo ya kudumu. Tunaweza kuwa na liuwanja tu peupe kama anavyofanya Gwajima tunaweka maturubai tu inatosha.
Sasa mhazini. Mbona hujanipa report ya mapato ya sadaka zetu leo
 
Back
Top Bottom