myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Likes
Vikao haviwezi fanyika kama hakuna agenda...Kwa neema za Mungu nitakuwepo. Lakini mbona mbali hivyo? Kwani vikao hivyo vina gharama yo yote? Mbona kisifanyike kimoja hata kesho tu?
He! Mlikuwa kwenye kamati!! Karibuni upenuni tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vikao haviwezi fanyika kama hakuna agenda...
Nasikiza hiyo ndoto[emoji101] [emoji101] [emoji101]Usinikumbushe nilivyo kuota leo...
Jiraniiiiiiiii!!He! Mlikuwa kwenye kamati!! Karibuni upenuni tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jirani ukienda uani unachelewa kurudi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jiraniiiiiiiii!!
Unavijembe wewe khah!!