Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sasa hivi Ulaya pamezuka wimbi jipya la bangi.

Upandaji bangi majumbani, ni mgumu kutokana na hali ya hewa ya mvua na baridi Uzunguni. Pili, kuwepo kwa kamera doria (usalama) za video (CCTV), kila mtaa. “Kilimo” hiki ki sambamba na “mifugo bandia.”
 
Bahati mbaya ufugaji huu “rahisi” ni mzuri kifedha. Kuku anayechukua miezi 6 na zaidi anahitaji majuma matatu tu. Vitoweo hivi ni vya bei nafuu, havina ladha, vinadhuru miili na watoto leo wanazaliwa na kila sampuli ya “maradhi siri.”
 
Kinyume cha jibu la huyo bidada[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…