Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20171203-WA0116.jpg
 
Mama yake mzazi, Doria Radlan ana asili ya Afrika anayefuga rasta na baba yake, Thomas ni chotara wa Kiholanzi na Ireland.

Anasema rangi ya mama yake na rasta anazofuga kwa miaka mingi zimekuwa gumzo wengi wakisema siyo mama yake mzazi.
 
Itakuwa mimi ni muhenga
Maana kingetokea kinyume chake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kinyume chako ndo kipi hicho? Funguka tujifunze...[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Back
Top Bottom