Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1512316534643.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimeangalia kinacholipa zaidi nimeona ni heart wacha nikasake mteja[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ukidonate heart unambie nije chukua hela hiyo mana hata tukisema tutumie kwa mazishi itabaki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu. Ndo nimetoka kanisani. Mahubiri yalikuwa mazuri sana. Mchungaji huyu ni msomi na anachanganya falsafa, saikolojia, historia na taaluma zingine katika mahubiri yake. Leo amefundisha kuhusu kutopoteza matumaini na ndoto zetu hata mambo yawe magumu namna gani. Hapa nilipo yaani nawaka moto wa kutimiza ndoto zangu na malengo yangu ya kimaisha. Mungu ni mwema na kamwe tusikate tamaa wapendwa. Ni hayo and I love you a LOT [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
AMUN RA
 
Back
Top Bottom