Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Utafiti huo kwa mujibu wa taasisi ya Twaweza ulifanyika katika wilaya 159 ukishirikisha sampuli ya watoto 112,455 wenye miaka kati ya saba hadi 16.

Akizindua ripoti hiyo leo Desemba 3 katika shule ya msingi mazoezi afisa tawala wilaya ya Monduli, Sharif Mziray alisema kwamba serikali imeipokea ripoti hiyo kwa mikono miwili na imewasaidia kuwafungua mambo mengi.
 
Mziray, amesema kwamba serikali inaichukulia ripoti hiyo kama changamoto na kuanzia sasa watatengeneza mazingira wezeshi kwa walimu na wanafunzi ili kujenga mazingira bora ya watoto kujifunza.

“Hii ni changamoto kwetu sisi kama serikali ya wilaya lakini wazazi pamoja na walimu mna changamoto ya kuhakikisha mnaweka mazingira mazuri ya watoto kujifunza”alisema Mziray
 
Hata hivyo, mratibu wa programu ya Uwezo wilayani Monduli, Mohammed Nkinde amesema kwamba wilaya hiyo imeshika nafasi ya 43 kati ya 159 katika ngazi ya kitaifa na nafasi ya 4 katika ngazi ya mkoa katika uwezo wa watoto kujifunza.

Nkinde, amesema kwamba mahudhurio ya walimu na ufundishaji kwa ujumla upo chini wilayani Monduli kwa kuwa kiwango cha mahudhurio wilayani humo kinaonyesha kuwa ni asilimia 86 ya mahudhurio ya walimu na asilimia 75 ya mahudhurio ya wanafunzi kiwango ambacho hakiridhishi.
 
Hii inaonyesha kwamba muda wa wanafunzi na mwalimu kukutana au kufundisha darasani wakati wa muda wa shule ni mdogo na hivyo wanafunzi hawapati muda unaopaswa kufundishwa ili waweze kujifunza stadi za msingi” amesema Nkinde

Ofisa maadili na nidhamu kutoka tume ya utumishi wa walimu wilayani humo, Rhoda Msemo amekemea tabia ya baadhi ya wazazi ambao hawakubahatika kwenda shule kutokagua madaftari ya watoto wao na kusema tabia hiyo haifai.

“Kuna baadhi ya wazazi hawakupata bahati ya kwenda shule hivyo wanawaogopa watoto wao hata kukagua home work (kazi za nyumbani) hawakagui hii si sawa kagueni kazi zao hawa watoto msiwaogope” amesema Msemo
 
Wakuu. Ndo nimetoka kanisani. Mahubiri yalikuwa mazuri sana. Mchungaji huyu ni msomi na anachanganya falsafa, saikolojia, historia na taaluma zingine katika mahubiri yake. Leo amefundisha kuhusu kutopoteza matumaini na ndoto zetu hata mambo yawe magumu namna gani. Hapa nilipo yaani nawaka moto wa kutimiza ndoto zangu na malengo yangu ya kimaisha. Mungu ni mwema na kamwe tusikate tamaa wapendwa. Ni hayo and I love you a LOT [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mungu akutangulie na uweze timiza ndoto zako[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom