Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20171203-WA0057.jpg
 
MFANYABIASHARA Mohammed Dewji 'MO' amefanikiwa kushinda zabuni ya kuwekeza ndani ya klabu hiyo.

Mwenyekiti wa Kamati ya kusimamia mchakato wa kumsaka mwekezaji wa klabu hiyo, Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu, Thomas Mihayo, alisema Dewji ametimiza vigezo na sifa zote zilizowekwa na kamati yake kwa mshindi wa nafasi hiyo.
 
Kamati iliunda kamati ya tathmini ambayo ilikuwa na jukumu la kuthibitisha kama kweli muombaji anakidhi vigezo.

Baada ya muwekezaji kuwasilisha vielelezo vyote vilivyohitajiwa, kamati ya tathmini ilirudisha majibu kwetu kwamba mwekezaji ametimiza vigezo. Hivyo nichukue fursa hii kumtangaza Mohammed Dewji kama mwekezaji mwenza wa klabu ya Simba," alisema Jaji Mihayo.
 
Niuzie mimi huo moyo wako ili niwe nayo miwili. Actuale huu nilionao unaniboa. Mwepesi sana kukatiwa usingizi na unasukuma hata vitu ambavyo havipaswi kusukumwa... [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
Nipe ka address nauleta hapo chap,mana sipendi wakukatie....
 
Back
Top Bottom