Sawa carba ntashukuru[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha nitafute mteja[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbavu sina[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu ex wa Sugu huyu kiboko. Na kwa picha hii mama zetu wanastahili pongezi sana. They went through hell kutuleta hapa duniani. Akina mama na mtakaokuwa akina mama, heshima zenu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Nipe ka address nauleta hapo chap,mana sipendi wakukatie....Niuzie mimi huo moyo wako ili niwe nayo miwili. Actuale huu nilionao unaniboa. Mwepesi sana kukatiwa usingizi na unasukuma hata vitu ambavyo havipaswi kusukumwa... [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
De Gea ni nani?