Angalizo zuri....
Huyu bidada kavurugwa kwakweli....Huyu ex wa Sugu huyu kiboko. Na kwa picha hii mama zetu wanastahili pongezi sana. They went through hell kutuleta hapa duniani. Akina mama na mtakaokuwa akina mama, heshima zenu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Na wewe utaishi bila moyo? You will be ruthless....!!!Nipe ka address nauleta hapo chap,mana sipendi wakukatie....