Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Google wanatafsiri siku hizi. Na kuna app kibao pia. Atashangaa akikuta watu wamejaa ukumbini
Namleta chaap[emoji23][emoji23]Hata 100% utapata[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mlete tuzungumze
Unataka mioyo mingapii....Mimi nahitaji barafu tu maana friji kwa jiraniFunguka jiraniiii. Fungukaa....
Doh![emoji134][emoji134]Anajaribu kutuliza ball..kifuani..gotini..mguuni....
Nipo namsikiliza jirani yako mkimya lakini hatariUfafanuzi jirani puliziii
SYB njoo msikie jirani huku[emoji23][emoji23]
Sisemi....ntakosa mengi!!!Kwamba nani kamponza??
Koh koh!!Ukinipa mpaka mwezi wa 7 mwaka kesho nitaweza kuuafodi moyo wako kwa hiyo bei uliyoitaja [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Nimeona....tayari[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nobody has seen you? Where do you live? On Mars?Why? Nobody has seen me
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaaaah!!wapi kasema anataka wako[emoji1][emoji1][emoji1]