Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Ukisikia nimehama nyumba jua chanzo ni jirani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipo namsikiliza jirani yako mkimya lakini hatari
Jamaniiii !!!
Hata 10 ikiwezekana. Kwa jirani ulishindwa kujidamka wakati ule sasa hivi usingekuwa unahangaika kupiga chabo ukisaka ubuyu. Na hilo friji likiharibika itabidi utafute sababu nyingine ya kuendea kwa jirani....Unataka mioyo mingapii....Mimi nahitaji barafu tu maana friji kwa jirani
Umeupataa woote nimekupa bureeee[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Wa kwako ndo nautamani sana. U mweupe na hauna waa hata moja...Nautaka...
JT wawatu katulia! Coll alihamia epl akaachwa..wengine wanahamia bwagaMoyo...Jiraniiii ! Vibaya hivyo jiraniii...
Yegomasika nakutafuta
Funguka tu jirani usiogope....Sisemi....ntakosa mengi!!!
Toba![emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Yegomasika nakutafuta
Kumbeee,nimeelewa[emoji19][emoji19][emoji19]Hata 10 ikiwezekana. Kwa jirani ulishindwa kujidamka wakati ule sasa hivi usingekuwa unahangaika kupiga chabo ukisaka ubuyu. Na hilo friji likiharibika itabidi utafute sababu nyingine ya kuendea kwa jirani....
Siyo tatizo sana. Anaweza kutumia ya Ufipa [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️