Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ungekua unajua mambo haya ungefurah mwenyewe maana man city timu ngumu. Ungeshinda likes mapema. Mourinyo anaweza paki busSijui mambo ya mpira lazima tu utashinda kama ilivyo kawaida yako. Sibeti aisee...
Ndo unasemaje sasa? Nibet nisibet?Ungekua unajua mambo haya ungefurah mwenyewe maana man city timu ngumu. Ungeshinda likes mapema. Mourinyo anaweza paki bus
Ndo unasemaje sasa? Nibet nisibet?
Bado sana. Wengi tu hawatauona mwaka mpya. Ni kuomba Mungu sana...Zimebaki siku chache tu kumaliza mwaka
Sijui nibet likes au dola. Which one do you want? Na wewe utabet nini?Usibet hahhaa
Bado sana. Wengi tu hawatauona mwaka mpya. Ni kuomba Mungu sana...
Mweee hizo dola ntaokotea wapi. Ntabet likes duh nisije anza penda bet nkaishia kwa akina tatu mzukaSijui nibet likes au dola. Which one do you want? Na wewe utabet nini?