Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Bro habari gani
Yawezekana aisee. Either mnara hausomi au maugomvi yasiyo na kichwa wala miguu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chipth yai
Hivi hawa mbwa ngozi zao za usoni zilitengenezwa kubwa kuliko vichwa vyao?
Ugoni mubashara
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hawa wengine siyo nachuro. Wamechanganywa changanywa ma DNA kupata breed inayotakiwa. Ni biashara ya mabilioni hii mkuu...Hivi hawa mbwa ngozi zao za usoni zilitengenezwa kubwa kuliko vichwa vyao?
Hatari tupu
Unapotea mno bro. Japo hapa kumepoa lakini jitahidi basi angalau kuwa unapita tu na kusema hi. Kwema?Mimi ni ndugu yenu
Hapana mkuu,Sema Mchina. Hapo vipi? Unaweza kutetea heshima ya ukoo ? Kwema lakini?
Wanasemaga wake za watu warahisi sana ishu ni siku ukibambwa sasa...Ugoni mubashara