Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Katika maandiko kuna sehemu inasema kuna watu wamezaliwa kwa ajili ya kuustarehesha ulimwengu tu si vinginevyo.
Unatamani iwe ndotoWanasemaga wake za watu warahisi sana ishu ni siku ukibambwa sasa...
Kwema bro nimefurahi kuona unaweka mambo sawa hapa kijijini ,wadosi wanasumbua mwisho wa mwaka huu lakini soon nitakuwa full time humuUnapotea mno bro. Japo hapa kumepoa lakini jitahidi basi angalau kuwa unapita tu na kusema hi. Kwema?
Uko deep sana mkuu. Funguka kwa falsafa nyepesi kidogo...Katika maandiko kuna sehemu inasema kuna watu wamezaliwa kwa ajili ya kuustarehesha ulimwengu tu si vinginevyo.
Ukijifanya kidume utalia siku si nyingi baada ya kuelewa u mmoja kati ya watumiaji wa mtu unayemuamini.
Sawa mkuu!Uko deep sana mkuu. Funguka kwa falsafa nyepesi kidogo...
![]()
Mke wa mtu mi nilishasema hata iweje sitakaa nijaribu mkuu. Hata awe mzuri na mrahisi kiasi gani. It's not worth it kabisa yaani hata usipokamatwa ile tu sense of guilty itakusumbua sana. Wanawake wapo wengi sana hapa duniani aisee na hakuna kabisa haja ya kwenda kudandia mke wa mtu....Unatamani iwe ndoto
Mkuu habari za masikuBro habari gani
Mchina niajeUgoni mubashara
Nzuri mzee wa liverHabari za jioni hii wadau wa likes
Mkuu habari za jioniUnapotea mno bro. Japo hapa kumepoa lakini jitahidi basi angalau kuwa unapita tu na kusema hi. Kwema?
Sawa bro. Hata mimi siko huru kihivyo. Mwisho wa mwaka una mambo mengi kwa kweli. Tuombe Mungu Atuweke hai angalau tuweze kuuona mwaka mpya [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Kwema bro nimefurahi kuona unaweka mambo sawa hapa kijijini ,wadosi wanasumbua mwisho wa mwaka huu lakini soon nitakuwa full time humu