Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unatamani iwe ndoto
Mke wa mtu mi nilishasema hata iweje sitakaa nijaribu mkuu. Hata awe mzuri na mrahisi kiasi gani. It's not worth it kabisa yaani hata usipokamatwa ile tu sense of guilty itakusumbua sana. Wanawake wapo wengi sana hapa duniani aisee na hakuna kabisa haja ya kwenda kudandia mke wa mtu....
 
Kwema bro nimefurahi kuona unaweka mambo sawa hapa kijijini ,wadosi wanasumbua mwisho wa mwaka huu lakini soon nitakuwa full time humu
Sawa bro. Hata mimi siko huru kihivyo. Mwisho wa mwaka una mambo mengi kwa kweli. Tuombe Mungu Atuweke hai angalau tuweze kuuona mwaka mpya [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…