Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jakitoo bebi. Kuna limwimbo lako huku zuri linakusubiri kutoka kwa mate...[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Good offer....

Mpeleke na kwenye lile jiwe linalocheza akajionee maajabu ya Wakerewe. Mjusi anakuwa mamba laivu na kula mtu....

Hahaa, sitaki kumtisha mtoto wa Pwani na hayo mambo! Guruguja (mjusi kwa Kizaramo) kuwa mamba ni maajabu ya dunia! Halafu wewe uliyajulia wapi mambo yote haya ya vile visiwa viwili? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaa, sitaki kumtisha mtoto wa Pwani na hayo mambo! Guruguja (mjusi kwa Kizaramo) kuwa mamba ni maajabu ya dunia! Halafu wewe uliyajulia wapi mambo yote haya ya vile visiwa viwili? [emoji23][emoji23][emoji23]
Stori za Kezilahabi na Ruhumbika. Nimekutana nao mara nyingi sana. Nimeisoma Namagondo vizuri katika Rosa Mistika. Ruhumbika pia ameelezea vizuri sana ishu za Guruguja katika riwaya yake ya Janga Sugu la Wazawa. Seriously kama utakuwa Nansio siku moja nitonye nije nifanye utalii wa ndani. Nitapenda sana kufika Namagondo na sehemu zingine zilizotajwa katika riwaya ya Gamba la Nyoka na Janga Sugu la Wazawa. Unajua nafasi ya Kisiwa cha Ukerewe katika Fasihi ya Kiswahili? Kama hujui uliza nikutonye japo kwa juu juu !!!

[emoji117][emoji117][emoji117]Kwa nini Guruguja? Kwa nini Kizaramo? Nani Mzaramo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…