Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
You are perfect
Kwa familia na koo zetu za Kiafrika aisee hii inabidi isisitizwe sana. Ni kulalamikiwa na kulaumiwa tu non stop. Hata wale uliowapa mitaji huko nyuma wakaitafuna nao wanakulalamikia kuwa umewatupa. Hakuna anaye-take responsibility hata mmoja. Na hata ufanye wema wa aina gani, mwisho wa siku wewe ni mbaya tu. Kwa wazazi na siblings sawa lakini hata wapwa, watoto wa ba mkubwa, kaka...Real?Ukitaka kufanikiwa usiwe mtu wa kulaumu, mara huyu kashindwa nisaidia ndiyo maana nimeshindwa kufaulu, huyu kashindwa nishika mkono ndiomana sijatoka,Ndugu zangu hawanijali ndiomana mimi maskini.NO, amini hakuna anaetakiwa kukushika mkono unapaswa ujiongeze mwenyewe,kwa kujituma na kumuomba MUNGU tu. Ukimtegemea Binadamu,utakua mtu wa kuishi na STRESS na DISAPPOINTMENTS tu milele. .
Si kwa kupotea huku,sio vizuri ujue?[emoji19][emoji19]You are perfect
Laudi endi Kilia bebi.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lakini ujumbe umefika[emoji6] [emoji6] [emoji6]
Maisha menyewe mafupi haya shemu. Leo upo kesho mtu unakumbukwa kwa RIP...Pambana shemeji mpeleke bebito akafurahi huko....
Haya bhana shemeji...Maisha menyewe mafupi haya shemu. Leo upo kesho mtu unakumbukwa kwa RIP...
Pambana shemeji mpeleke bebito akafurahi huko....