Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wanaharakatiiii.....Huu ndio mfano wa Rais afrika kwa sasa
Unafikiri kwa nini yeye ndiye awe mfano? Na kama ndiye mfano, kuna tumaini kwa Afrika? Mijitu myeusi sisi kazi sana. Na cha ajabu zaidi hata wengine nao wakija, hata watoke wapi, wanaishia kufanya madudu yale yale miaka nenda miaka rudi bara zima liko pale pale linapiga makitaimu. Mijitu myeusi sijui tulirogwa na nani....