myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
21:15
Safi tu za weweNimeitika wii,,, za jumatatu?
Wanawake ndio waliotaka usawa...sasa wanaimba.... ..Mwanamke kulelewa kawaida bhana ila na ninyi mnataka haki sawa za kulelewa[emoji23][emoji23][emoji23]
Upweke baba,achana na upweke kabisa halafu usikute bidada ndo alitoka kuachana na jamaa yake.[emoji23][emoji23][emoji23]...Pole bana! Saa ingine mtu lazima ujue unataka nini kwenye haya maisha! Alikuwa na watoto wake wawili tayari, na inavyoonekana hakuwa na shida kivile ya maisha. Angetulia akamalizia taratibu ujenzi wa nyumba yake! Sasa wewe umekutana tu na Yego hapa JF, mnalianzisha na kuhamia kwake tayari; huyu Yego unamjua au unamsikia? [emoji1][emoji1]
UpendoAmani
Ndo mnatukomesha?tuwalipie hadi ada?Wanawake ndio waliotaka usawa...sasa wanaimba.... ..
Hata sisi tukiwakuta na watoto wa kufikia tunalipaNdo mnatukomesha?tuwalipie hadi ada?
HahahahahaWanawake ndio waliotaka usawa...sasa wanaimba.... ..