Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu anatuwangia sasa, aah! [emoji23][emoji23][emoji124][emoji124]
[emoji101]Wala,dada wa watu kaja toa tahadhari maana yamemkuta makubwa....
Ila nyie wanaume nyie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mungu anawaona....
[emoji117][emoji117][emoji117]hujambo lakini?
Wii nakisalimuSalama kabisa, Tumshukuru Mungu[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Pambana shimba [emoji123] [emoji123] [emoji123] ,Ubarikiwe gete
4 days to weekend ndefu kwangu[emoji4]Poa kabisa jumatatu inakwisha
20 days to go xmass
Wanaume wa humu wanapenda kulelewa kumbe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji101]
Hahahahaha halafu wewe4 days to weekend ndefu kwangu[emoji4]
Sijambo...hayo yapo pande zote..ke/meWanaume wa humu wanapenda kulelewa kumbe[emoji23][emoji23][emoji23]
Msinipige mawe tu na kama kuna povu nakunywaaa....
Nimeitika wii,,, za jumatatu?Wii nakisalimu
Acha tu Mungu atuhurumie kwakweli
Ila bora hata jamaa angesema"mama robi njoo nikurenge",jamaa anavuta tu na kutaja jina lake dah!hadi roho yauma kama mimi vile..
Mwanamke kulelewa kawaida bhana ila na ninyi mnataka haki sawa za kulelewa[emoji23][emoji23][emoji23]Sijambo...hayo yapo pande zote..ke/me