Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Faraji Majora aliandika, “Wangesema tu jengo limejengwa chini ya kiwango ni maneno machache ila yana maana wananchi tungewaelewa!”

Mhandisi mmoja wa ujenzi ambaye hakutaka kutajwa jina lake gazetini, alisema kutokana na jinsi nyufa zile zilivyonyooka tatizo la majengo hayo ni kuwa vifaa vya ujenzi, hasa matofali, havikuwa vyenye ubora.
 
Alisema iwapo matofali yangekuwa na ubora unaotakiwa nyufa zingekuwa zinapinda kuyafuata, tofauti na hali ya sasa ambayo inawezekana tu kama limepita tetemeko la ardhi.

Mhandisi huyo alisema vilevile nyufa hizo zinaonyesha kwamba jengo hilo limetitia upande kutokana na upungufu katika msingi wake, na hivyo kutokuwa salama sana kwa matumizi.
 
Unaulizia kukaa? Mi naulizia kutawadha [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
Kuna mmoja alisimulia kuwa huwa anaoga kabisa. Maana hio ni shughuli pevu kwao wanene
 
Bosi wa Manchester United Jose Mourinho amesisitiza kuwa kiungo wake Nemanja Matic hayupo kwenye mipango ya mechi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya CSKA
Katika mechi ya wikiendi, Matic alicheza dakika zote 90 - licha ya kuingia dimbani akiwa hayupo vizuri na United waliibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Arsenal katika uwanja wa Emirates.
 
Hata hivyo, Mourinho amemtoa Matic kwenye mechi ya Jumanne itakayopigwa Old Trafford kwa sababu ya majeraha, na amekiri kuwa Mserbia huyo pia atapata faida ya kupumzika.
Kocha huyo aliwaambia waandishi: "Tuna matatizo, tuna majeruhi. Matic amepata majeraha na ninaposema amejeruhiwa, amejeruhiwa.
 
Sitamchezesha kesho kwa hiyo Matic nje. Vijana wengine wanacheza kila mechi kwa hiyo wanahitaji pia kupumzika. Muhimu zaidi, wengine nao wanastahili kupewa fursa ya kucheza."
Matic ameanza mechi 20 akiwa United katika michuano yote tangu ajiunge na klabu hiyo kutoka Chelsea majira ya joto.
 
Mshambuliaji wa Barcelona Luis Suarez amekiri kuwa maumivu yamemzuia kucheza katika ubora wake mapema msimu huu
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 sasa amefunga mara sita katika mechi 18 alizoichezea Barcelona msimu huu, lakini bado hajafanikiwa katika mechi tano za Ligi ya Mabingwa katika kampeni za 2017-18.
 
Suarez amekuwa akipambana dhidi ya majeraha yake ya goti, hata hivyo, Mchezaji huyo wa Kimataifa wa Uruguay amebainisha kuwa jeraha hilo limeharibu kiwango chake wiki za awali za msimu huu.
"Naam, lakini sasa najisikia vizuri. Nilihitaji matibabu ya kina na sasa naimarika. Sitaki kuendelea kuhisi maumivu, ni lazima niyazuie kujirudia tena," Marca lilimnukuu Suarez akisema.
 
Tony Adams amedai kuwa Arsenal haitaweza tena kushinda taji Ligi Kuu Uingereza chini ya Wenger na atashangaa kama Mfaransa huyo atabaki Emirates.

Gunners wana pengo la alama 15 dhidi ya vinara Manchester City baada ya kupigo cha 3-1 dhidi ya Manchester United Jumamosi.
 
Wenger ameshinda taji la Uingereza mara tatu ndani ya miaka yake nane ya kwanza lakini hajafanikiwa kulitia mikononi mwake taji hilo miaka 13 iliyopita.

Alipoulizwa kama klabu yake ya zamani inaweza kutwaa ubingwa chini ya Wenger, Adams alikiambia Sky Sports News: "Amepewa mkataba mpya wa miezi 18, kwa maana hiyo unaniuliza kama kikosi kinaweza kushinda. Sidhani kama wanaweza, nadhani hilo lipo dhahiri.
 
Lakini ni muda gani atabaki sasa? Ana umri gani? 67, Tayari ameshasema kustaafu kwake ni kufa kwake, kwa maana hiyo hawezi kustaafu wala kuishi nje ya soka. Sitashangaa sana ikiwa ataongeza mkataba mwingine miaka ijayo."

Licha ya ukame wa taji hilo, Arsenal wamekuwa na mafanikio kwenye Kombe la FA miaka ya hivi karibuni, wakifanikiwa kushinda mara tatu katika michuano minne ya mwisho.
 
Back
Top Bottom