Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kikosi cha Man United kitakuwa nyumbani, huku wakitakiwa kupata sare dhidi ya CSKA Moscow ili kuvuna angalau pointi moja iweze kusonga mbele kwenye Ligi ya Mabingwa, mchezo unaotarajiwa kupigwa leo Jumanne.

Man United itaikaribisha CSKA Moscow ambayo kwa upande wao wanatakiwa kuwafunga vijana wa Jose Mourinho na kupata pointi tatu ili kuwa na matumaini ya kusonga mbele.

Hata hivyo, hata kama CSKA itaibuka na ushindi kusonga kwake mbele itategemea iwapo Basle itapata matokeo mabaya kutokana na kuwa na pointi sawa huku wakiwa na tofauti ya mabao ya kufunga na kufungwa.

Machester United inaongoza kundi A ikiwa imejikusanyia pointi 12, huku Benfica wakiburuza mkia kutokana na kutokuwa na pointi hata moja.
 
Back
Top Bottom