Unajua kiimani hutakiwa kufanya vitu juu juu, hata ukibadilisha dini ni kwa sababu ya Mungu siyo kwa sababu ya mapenzi, kwa hiyo mimi sikutaka kufanya hiyo michezo na ninaamini patalegea popote au tutaoana hivyo hivyo au Mungu mwenyewe atalegeza kwa sababu tunapendana na tayari tuna mtoto” amesema Linah.