Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha kama ni hivyo asiende tu atapata kashfa mpya tofauti na hii aliyonayo ya kuimba sauti ya 30
Andjul Mwenyekiti wa CHAWAMITA akafundishwe kuimba na viongozi wa kwaya makanisani? Kama ni wanawake labda tena wawe na ile kitu roho inapenda..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuanza ngono mapema nako kunachangia kwa kiasi kikubwa maambukizi ya saratani hiyo, kwani binti anakuwa katika hatari zaidi ya kupata maambukizi mapema na hivyo kuweza kumwathiri mapema zaidi, tofauti na yule aliyeanza baadaye.
 
Idadi kubwa ya wanawake wamekutwa na saratani mapema sana, ukilinganisha na umri wao, lakini wengi wao wamekuwa wakikutwa na ugonjwa huu kuanzia umri wa miaka 35 kwenda juu. Hii inamaanisha kuwa walipata maambukizi hayo walipokuwa na miaka 20-25.”
 
Kama ikitokea hapo katikati ukajitokeza ugonjwa mwingine kama HIV basi saratani nayo itajitokeza.” Utafiti walioufanywa Septemba 2011 kuhusu tatizo la HIV na saratani ya shingo ya uzazi unaonyesha kuwa idadi kubwa ya wanawake waliokuwa na maambukizi ya HIV na CD4 ziliposhuka tu, saratani ya kizazi nayo iliibuka,
 
hiyo inamaanisha kuwa tatizo hilo ni kubwa tofauti na linavyodhaniwa. Kwa upande wake virusi vya HPV huambukizwa kwa mwanamke moja hadi mwingine, pale mwanamume anapofanya tendo hilo na mwanamke mwenye maambukizi na kwenda kufanya tendo hilo na mwanamke mwingine.
 
Andjul Mwenyekiti wa CHAWAMITA akafundishwe kuimba na viongozi wa kwaya makanisani? Kama ni wanawake labda tena wawe na ile kitu roho inapenda..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee ni mtu wa ajabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…